Uncategorized

AZAM FC WAANZA KUIWINDA FASIL KENEMA

admin July 30, 2019 8:33 am


ETTINE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.

Azam FC itamenyana na Fasil Kenema kwenye mchezo wa kwanza wa Shirikisho utakaochezwa Agosti 10 nchini Ethiopia.

“Tunajua tuna kazi kubwa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na ligi, kwa sasa tumeanza kujiaanda na michuano ya kimataifa na tupo tayari kwa ushindani,” amesema.

 Zimebaki siku 12 kabla ya Azam FC ambao ni mabingwa wa kombe la Shirikisho kuvaana na Fasil Kenema ya Ethiopia.

BEKI RUGAN WA JUVENTUS KUTUA ARSENAL KWA MKOPO DOZI YA KMC KUIWINDA AS KIGALI NI MARA MBILI KWA SIKU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply