Uncategorized
NYOTA WA SIMBA NA YANGA AJIUNGA NA TIMU YA PRO LINE
HAMIS Kiiza nyota wa zamani wa klabu zote mbili kubwa zenye maskani yake Kariakoo, Simba na Yanga amejiunga na timu ya Pro Line.
Timu hiyo ya Uganda ni mabingwa wa kombe la Shiikisho kwa msimu uliopita na itashiriki Ligi Kuu ya Uganda msimu ujao.
Kabla ya kujiunga na timu hiyo Kiiza alikuwa anaitumikia timu ya Vipers FC.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.