Uncategorized

ZAHERA WA YANGA KUSHUSHA JEMBE MOJA LA KAZI

admin July 30, 2019 11:53 am

MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga, leo ameanza rasmi kukinoa kikosi chake ambacho kimeweka kambi mkoani Morogoro.

Zahera amesema kuwa kwa sasa anasubiri nyota wake mmoja ili afunge jumla mahesabu ya usajili.

“Malengo makubwa ya kwenye usajili kwa kisasi kikubwa yamekamilika, kwa sasa kuna nafasi moja tu ya mchezaji kwa nafasi ya ushambuliaji kisha baada ya hapo tunafunga hesabu jumla,” amesema Zahera. 

Dirisha la usajili kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi Daraja la kwanza linafugwa kesho Julai 31.

RATIBA YA KUKUSANYA KIJIJI YA YANGA IPO NAMNA HII NYOTA WA SIMBA NA YANGA AJIUNGA NA TIMU YA PRO LINE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply