Home Uncategorized YANGA YAENDELEA KUSHINDA MECHI ZAKE ZA KIRAFIKI, YATANDIKA MTU 7-0

YANGA YAENDELEA KUSHINDA MECHI ZAKE ZA KIRAFIKI, YATANDIKA MTU 7-0

[the_ad id="25893"]


Yanga imeendelea kushinda mfululizo mechi zake za kurafiki kwa kuitwanga Moro Athletic Academy kwa mabao 7-0.

Yanga ipo kambini Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa 2019/20.


SOMA NA HII  NYOTA MPYA KMC AIYEE AKIWASHA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here