Uncategorized

KOCHA TANZANITE AWAPA PONGEZI WACHEZAJI WAKE

admin August 5, 2019 4:36 am


BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, ‘Tanzanite’ amesema kuwa wachezaji wake wanapaswa pongezi kwa kupambana.

Tanzanite imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kushinda michezo miwili ya michuano ya COSAFA kwa kuanza mbele ya Botswasana ushindi wa mabao 2-0 na jana mbele ya Eswatini mabao 8-0.

“Wachezaji wanastahili pogezi kwani wamepambana mwanzo mwisho bila kukata tamaa, awali walikuwa na hofu pamoja na kutozoea mazingira kwa haraka.

“Kuwahi kwetu kufika Afrika Kusini kumetujenga na kutufanya tuwe vizuri, mashabiki waendelee kutupa sapoti mwanzo mwisho,” amesema.

SIMBA: TUPO FITI KUMENYANA NA POWER DYNAMO MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply