Uncategorized

KMC WANA BALAA, WATIA TIMU LEO RWANDA NA KUANZA KUWAVUTIA KASI WAPINZANI WAO

admin August 8, 2019 10:04 am


KIKOSI cha KMC leo kimetia timu nchini Burundi kwa ajili ya kujiaandaa na mchezo wake wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.

KMC itamenyana na AS Kigali Agosti 10 kwenye mchezo wa awali wa kombe la Shirikisho Afrika na wanatarajia kurudiana na wapinzani hao kati ya Agosti 23-25 jijini Dar.

Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kikosi kimefika salama leo na kinaanza mazoezi kwa ajili ya kuwawinda wapinzani wao.

“Kikosi leo kimefika salama na leo kinaanza maandalizi ya mwisho kuelekea kwenye mchezo wetu wa kimataifa dhidi ya AS Kigali ya Rwanda,” amesema.

WATATU WA KIKOSI CHA KWANZA KUBAKI BONGO SIMBA IKIKWEA PIPA KUWAFUATA UD SONGO KIKOSI CHA TANZANITE KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AFRIKA KUSINI MICHUANO YA COSAFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply