Uncategorized

WATATU WA KIKOSI CHA KWANZA KUBAKI BONGO SIMBA IKIKWEA PIPA KUWAFUATA UD SONGO

admin August 8, 2019 9:54 am


IMEELEZWA kuwa nyota watatu wa kikosi cha kwanza wa timu ya Simba watabaki Bongo wakati timu ikikwea pipa kuelekea nchini Msumbiji kuivaa UD Songo.

Simba inatarajia kukwea pipa kesho kuifuata UD Songo kwenye mchezo wa awali wa kimataifa wa Ligi ya Mabigwa kabla ya kurudiana na mabingwa hao wa Msumbiji baada ya wiki mbili, Dar.

Wachezaji hao ni pamoja na kipa Aishi Manula, kiungo Ibrahim Ajibu na mshambuliaji Wilker raia wa Brazil.

Sababu kubwa inaelezwa ni pamoja na kusumbuliwa na majeraha kwa wachezaji hao pamoja na sababu nyingine za kiufundi.

BAADA YA JANA KUSHUSHA DOZI YA 4G, YANGA KAZINI TENA LEO KMC WANA BALAA, WATIA TIMU LEO RWANDA NA KUANZA KUWAVUTIA KASI WAPINZANI WAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply