Home Uncategorized BAADA YA JANA KUSHUSHA DOZI YA 4G, YANGA KAZINI TENA LEO

BAADA YA JANA KUSHUSHA DOZI YA 4G, YANGA KAZINI TENA LEO

210
0


BAADA ya Jana kikosi cha Mabingwa wa Kihistoria Yanga kushusha kichapo cha 4 g mbele ya Mlandege visiwani Zanzibar leo wana kazi nyingine tena visiwani humo.

Mabingwa hao mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo watamenyana na Malindi FC majira ya saa 2:00 usiku.

Jana Yanga ilishinda mchezo wake wa kwanza wa kirafiki visiwani Zanzibar kwa jumla ya mabao 4-1 dhidi ya Mlandege kwenye mchezo wa kirafiki.