Uncategorized

LUKAKU WA MANCHESTER UNITED KUIBUKIA MILAN

admin August 8, 2019 9:04 am


ROMELU Lukaku amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United mpaka Iter Milan.

Milan inayoshiriki Serie A imeweka mezani mkwanja wa pauni Milioni 72 ili kukamilisha dili la kumpata nyota huyo.

Mshambuliaji huyo yupo ndani ya Milan na alipokelewa na mashabiki zaidi ya mia, inaelezwa kuwa leo atatambulishwa rasmi.

Kitu cha kwanza ambacho anafanyiwa ni uchunguzi wa afya yake kabla ya mipango kuwekwa wazi.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akihitajika na Meneja wa Inter Antonie Conte.

AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAAJABU KWA WAETHIOPIA JUMAPILI BAADA YA JANA KUSHUSHA DOZI YA 4G, YANGA KAZINI TENA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply