Uncategorized

YANGA YATOSHANA NGUVU NA MALINDI, WACHOMOA BAO DAKIKA ZA USIKU

admin August 8, 2019 9:10 pm


KIKOSI cha Yanga kimetoshana nguvu na kikosi cha Malindi FC kwenye mchezo wake wa kirafiki uliochezwa visiwani Zanzibar.

Yanga imeweka kambi maalumu visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiaanda na mchezo wa kimataifa utakaochezwa kesho Uwanja wa Taifa dhidi ya Township Rollers.

Kwenye mchezo wa jana Yanga ilianza kufunga bao la kwanza dakika ya 16 kupitia kwa Deus Kaseke kabla ya wapinzani wao Malindi kuweka usawa dakika ya 90 kupitia kwa Mohamed dakika za usiku kabisa.

YANGA KUMENOGA, SIMBA NAKO KAMA KAWA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI KMC SIO WA MCHEZOMCHEZO, WAMFUATA HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA KIBABE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply