Uncategorized

LUKAKU AMUACHIA JEZI MARTIAL NDANI YA UNITED

admin August 10, 2019 11:14 am


ANTONIO Martial nyota wa Manchester United amerejeshewa jezi yake ya zamani ambayo ni namba 9 iliyokuwa inavaliwa na Romelu Lukaku.

Martial ambaye alisajiliwa ndani ya United akitokea klabu ya Monaco alipewa jezi namba 9 baadaye alivuliwa na jezi hiyo akapewa mshambuliaji  Zlatan Ibrahimovic.

Martial alidumu na namba hiyo kwa muda wa msimu mmoja tu ambapo Zlatan aliposepa United jezi hiyo ikawa kwa Lukaku ambaye amejiunga na Inter Milan.

Hivyo kutimka kwa Lukaku kumempa neema Martial ya kuipata jezi yake ya awali.

NIYONZIMA ATUMA UJUMBE KWA KMC LEO YANGA WAIPA SAPOTI SIMBA KIMATAIFA, WAPANIA KUWAKALISHA ROLLERS LEO TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply