Uncategorized

KOCHA SINGIDA UNITED AANZA KUTEMA CHECHE

admin August 12, 2019 9:34 am


FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa kazi itakuwa moto msimu ujao kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya.

Akizungumza na Saleh Jembe, Minziro amesema kuwa timu inaendelea na maandalizi mkoani Mwanza kwa ajili ya msimu ujao.

“Timu ipo sawa kila kitu kinakwenda vizuri, wachezaji wanapambana na wanakazi kubwa ya kufanya kwa ajili ya msimu ujao.

“Ushindani utakuwa mkubwa nasi pia tumejipanga kufanya vizuri kikubwa sapoti kutoka kwa mashabiki na wadau” amesema.

MBELGIJI WA SIMBA AWAPA MAPUMZIKO WACHEZAJI WAKE MESSI ANAPAMBANA KUWA FITI KUKINUKISHA DHIDI YA ATHLETIC BILBAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply