Uncategorized

KUWAONA WA KIMATAIFA SIMBA NA AZAM FC TAIFA BUKU TANO TU

admin August 12, 2019 7:34 am


MCHEZO wa Ufunguzi wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC na Simba unatarajiwa kupigwa Agosti 17 uwanja wa Taifa.

Mchezo huo ni wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 23 ambapo mchezo wa kwanza utakuwa kati ya Mabingwa watetezi Simba na JKT Tanzania uwanja wa Taifa.

Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’  Clifford Ndimbo amesema kuwa kiingilio kwenye mchezo huo kwa jukwaa la mzunguko ni 5,000 na Jukwaa la VIP B na C itakuwa 10,000.

Mchezo wa ngao ya Jamii huwakutanisha mabingwa wa Ligi Kuu Bara ambao ni Simba pamoja na mabingwa wa Kombe la Shirikisho ambao ni Azam FC.

KMC LEO WACHEZAJI NI MWENDO WA BATA, KMKM MLIMA MZITO, MALINDI PIA MOTO MBELGIJI WA SIMBA AWAPA MAPUMZIKO WACHEZAJI WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply