Uncategorized

NEEMA YAZIDI KUMIMINIKA NDANI YA YANGA

admin August 14, 2019 4:44 am

NEEMA imezidi kumiminika ndani ya uongozi wa Yanga baada ya mlinzi wa zamani wa Yanga, Ahmed Amasha kuukabidhi uongozi wa timu hiyo vifaa mbalimbali vya mazoezi.

Amasha aliyeitumikia Yanga kati ya mwaka 1980 na 1985, amekuwa na utaratibu wa kutoa misaada mbalimbali kwa klabu hiyo.

Amasha kwa sasa anaishi Arabuni, amewataka wadau wengine wa Yanga ambao wanaishi nje ya nchi wasiisahau timu yao.

“Ni wakati wa wadau na mashabiki wenye mapenzi na Yanga kuwekeza ndani ya klabu hii kwa manufaa ya timu hapo baadaye kwani nafasi ni sasa na kila kitu kinawezekana,” amesema.

JUMA ABDUL, YONDANI MAMBO SAFI YANGA, DANTE MAMBO BADO MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, LIPO MTAANI BURE KABISA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply