Home Uncategorized MANULA: KAKOLANYA HAWEZI KUTISHIA NAFASI YANGU – VIDEO

MANULA: KAKOLANYA HAWEZI KUTISHIA NAFASI YANGU – VIDEO


Kipa watimu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Aishi Manula amesema hatishwi na uwezo wa mlinda mlango msaidizi wake Beno kakolanya bali analoliangalia kwa sasa ni uwezo wake wakuendelea kubaki kwenye nafasi yake hiyo. 

SOMA NA HII  TSHISHIMBI BABA LAO, AWAPOTEZA VIUNGO WOTE WA SIMBA IKIWA NI CHAMA, SHIBOUB