Uncategorized

MAURIZIO SARRI HATIHATI KUIKOSA PARMA JUMAMOSI, HALI YAKE SIO NJEMA

admin August 20, 2019 4:05 pm


UONGOZI wa Juventus umethibitisha kwamba kocha wao Maurizio Sarri anasumbuliwa na Nimonia na ripoti zimethibitisha kuwa mapafu yake yapo katika hali mbaya sana.

Sarri huenda akakosekana kwenye benchi la ufundi kwenye mechi dhidi Parma siku ya Jumamosi.


Sarri amejiunga na Juventus msimu huu akitokea klabu ya Juventus ambayo kwa sasa ipo chini ya Frank Lampard.

ULE USAKWAJI WA WATANO WALIOMTEKA MO DEWJI WAFIKIA HAYUA HII DUH! MATIZI YA AZAM FC NOMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply