Uncategorized

VITA YA UFUNGAJI BORA ENGLAND IMEANZA KUPAMBA MOTO

admin August 20, 2019 7:39 am


MSIMU mpaya wa Ligi Kuu England umeanza kunoga kwa upande wa vita ya Tuzo ya Ufungaji Bora ambapo moto umeanza kuwaka.

Ligi ya England ambayo imeshaanza kwa mwaka 2019/20 vita ya ufungaji bora kwa sasa imezaliwa upya.

 Washindi kwa msimu uliopita ambao ni Sadio Mane, Mohamed Salah wanaokipiga Liverpool na Pierre Aubameyang wa Arsenal wameanza yao.

Maswahiba wawili, Salah na Mane wao wametupia bao mojamoja huku timu yao ikiwa imecheza michezo miwili na kushinda yote.

Auba kawapiga bao katupia mabao mawili mechi mbili, na amesema kuwa anafurahia kuona timu yake ikiwa inashinda.

AZAM FC YASAHAU MAUMIVU YA KUPOTEZA NGAO YA JAMII, SASA NI MWENDO WA KIMATAIFA SIMBA YAANZA KUWAPIGIA HESABU UD SONGO TAIFA, ISHU YA BOCCO IPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply