Uncategorized
MANARA AVUNJA UKIMYA, AFUNGUKA KUHUSIANA NA YANGA
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka kwa kuipongeza Yanga baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Township Rollers.
Yanga imepata ushindi wa bao 1-0 na kufanya izidi kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya 1-1.
Hiki hapa alichokiandika Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram.


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.