Uncategorized
LIVE: SIMBA 0-1 UD do SONGO
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kwa sasa hatua ya awali ukiwa ni wa marudo uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na UD do Songo.
Simba ipo nyuma kwa bao 1-0 ambalo limefungwa na wapinzani wao dakika ya 14 kupitia kwa Luis Misquissone.
Dakika ya 25 Kagere alifunga bao, mwamuzi alisema ni la kuotea., mashabiki waliojitokeza Taifa ni wengi .

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.