Uncategorized

MCHEZAJI SIMBA AELEKEA MOROCCO

admin August 30, 2019 10:22 am


Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC na Napsa Stars ya Zambia, Laudit Mavugo amejiunga na klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco anayocheza Mshambuliaji wa Tanzania Saimon Msuva.

Baada ya mazungumzo mrefu, dili hilo limekamilika na Mavugo sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha wachezaji wa timu hiyo kwa msimu huu.

Mavugo aliwahi kucheza Simba misimu kadhaa iliyopita lakini baadaye akaachwa baada ya kukosa nafasi ndani ya wekundu wa Msimbazi.

Ikumbukwe kabla hajatua Simba, mabosi wa klabu hiyo walihaha kwa takribani misimu mitatu kupata saini yake lakini baadaye akaachwa kutokana na kiwango chake kuwa dhaifu.
MWAMUZI HUYU NA TABIA ZAKE, ANANIPA HOFU YA LIGI KUU BARA ITAKAVYOKWENDA KAGERE AFANANISHWA NA CRISTIANO RONALDO, HAWANA TOFAUTI KABISA, KIGOGO SIMBA AFUNGUKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply