Uncategorized

KAGERE AFANANISHWA NA CRISTIANO RONALDO, HAWANA TOFAUTI KABISA, KIGOGO SIMBA AFUNGUKA

admin August 30, 2019 10:32 am

Mwanachama na kiongozi wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, amesema kuwa haoni tofauti baina, Cristiano Ronaldo.


Rage ameeleza hayo kutokana na Kagere kuanza mechi mechi ya jana katika Ligi Kuu Bara akifunga jumla ya mabao mawili pekee katika ushindi wa 3-1 dhidi ya JKT Tanzania.

Akizungumza nasi, Rage ameeleza Kagere amekuwa mpambanaji ndani ya Uwanja na amekuwa hakatai tamaa.

Amemsifia kwa kusema ni mwanaume wa shoka haswa haswa na anaamini pia tuzo ya mfungaji bora msimu huu itaenda kwake.

“Sina wasiwasi na uwezo wa Meddie Kagere, nampa asilimia 100 ya kuwa mfungaji bora tena msimu huu, hana tofauti kabisa na Cristiano Ronaldo, wote wana vitu vilevile.”
MCHEZAJI SIMBA AELEKEA MOROCCO SIRI NZITO KUTOKA ZESCO UNITED ZAWEKWA HADHARANI, NI FAIDA KWA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply