Uncategorized
WAKATI IKIFAHAMIKA HAMRMONIZE AMESHAONDOKA WCB, TAZAMA ALICHOKIFANYA INSTAGRAM
admin
August 30, 2019
2:57 pm
Wakati ikifahamika kuwa Harmonize ameachana na lebo ya WCB iliyo chini ya Msanii, Diamond Platnumz, msanii huyo ameposti picha tatu Instagram hivi punde akiwa amevalia cheni yenye nembo ya WCB na kuzua sintofahamu nyingine ya kuondoka kwake.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.