Uncategorized

DANTE HAJALIPWA MILIONI ZAKE 45 YANGA

admin September 1, 2019 9:35 am


Beki wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ ameibuka na kusema anaidai klabu yake kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania, imeelezwa.

Dante ambaye hayuko na kikosi cha Yanga kwa muda mrefu sasa ameamua kufunga kutokana na ukimya wake ikiwa hajajiunga na timu tangu kuanza kwa msimu huu.

Beki huyo likuwa ni mongoni mwa wachezaji waliogoma hapo awali kati yake na Juma Abdul sambamba na Kelvin Yondani ingawa wenzake tayari walishajiuna=ga na timu.

Abdul na Yondani wlaijiunga baada ya kuelewana na Yondani lakini Dante haijajulikana zaidi tatizo lipo wapi.

Haijajulikana ni lini Yanga na Dante watamalizana ilihali tayari msimu mpya umeshaanza.

HASHEEM THABIT KUTUA TIMU NYINGINE KUBWA YA MPIRA WA KIKAPU MAREKANI MBUNGE SINGIDA APOKEA WAANDISHI WANAOKWENDA BURUNDI KUIPA MORALI STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply