Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa hapa duniani hakuna sheria inayomtaka kocha avae namna gani.
kauli ya Zahera imekuja kufuatia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuja na maboresho ya kanuni ambapo mojawapo ni kuhusiana na suala la uvaaji kwa benchi la ufundi ni lazima uwe smati.
Kanuni hiyo kama ilimlenga Zahera ambaye amekuwa akivaa pensi anapoingia uwanjani timu yake inacheza.
“Duniani kote katika soka hakuna sheria ya mavazi kuwa kocha anatakiwa avaaje, vile mimi navaa nakua relaxed,.
“Kuhusu mavazi Klopp ndiye kocha anayevaa hovyo, ila kama wamebadilisha sheria kwa ajili ya Zahera basi mchezo ujao nitavaa suti.”
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.