Uncategorized

SIMBA YASHUSHA ‘BREKI’ SASA KAZI KUANZA ALHAMISI KUIWINDA MTIBWA SUGAR

admin September 2, 2019 2:40 pm


PATRICK Aussems, ameshusha breki leo na kuwaacha wachezaji wake wapumzike kwa muda kabla ya kurejea kazini.

Simba leo wameanza mapumziko yao ambayo yatadumu mpaka Alhamisi na watarejea kwenye mazoezi yao kuendelea na programu maalumu.

Maandalizi ya sasa kwa Simba ni maalumu kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Septemba 17 uwanja wa Uhuru.

Mchezo wa kwanza Simba ilianza kwa kujikusanyia pointi tatu kwa kushinda mabao 3-1 mbele ya JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru.

YANGA YASHUSHA PRESHA KWA MASHABIKI, MAISHA LAZIMA YAENDELEE LIGI KUU BARA YAANZA NA REKODI BAB KUBWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply