Home Uncategorized BENKI KBC YAINGIA MKATABA WA MAMILIONI NA LIGI KUU BARA

BENKI KBC YAINGIA MKATABA WA MAMILIONI NA LIGI KUU BARA

130
0

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya KCB leo September 4 2019 wameingia mkataba wa mwaka mmoja wa Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Mkataba huo unathamani ya shilingi milioni 495 + VAT.