Home Uncategorized LIVE: BURUNDI 0-0 TANZANIA

LIVE: BURUNDI 0-0 TANZANIA

186
0


MCHEZO kwa sasa unaondelea nchini Burundi kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar kati ya Burundi na Tanzania ni kipindi cha kwanza.

Hakuna timu iliyoona lango la mpinzani kwa sasa timu zote zinapambana kutafuta matokeo.