Uncategorized

BABA DIAMOND AFUNGUKA HARMONIZE KUSEPA ZAKE WCB

admin September 5, 2019 9:08 pm


BABA wa msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mzee Abdul Juma amefunguka kuhusu uamuzi wa msanii Harmonize kuondoka kwenye Lebo ya WCB ambayo inamilikiwa na mwanaye huyo Diamond.

Akipiga story na moja ya Televisheni ya mtandaoni nchini, Baba Diamond amesema kuwa; ” Harmonize alianza kuonyesha dalili toka mwanzo za kuondoka WCB baada ya kuanza kufanya shoo binafsi nchi za nje, kitu kilichomfanya ajione ana jina kubwa kuweza kusimama mwenyewe. ”

BURUNDI YANYIMWA NAMNA YA KUPATA MATOKEO KWA MKAPA TANESCO YAMSAIDIA KIJANA ANAYEPUMUA WA MSAADA WA MASHINE YA OXYGEN

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply