Uncategorized

NYOTA MWINGINE WA SIMBA ATIMKIA KUKIPIGA ASIA

admin September 5, 2019 1:43 pm


Al Jahara Sporting Club ni nchi inayopatikana ndani ya Bara la Asia katika nchi ya Kuwaiti kwenye mji wa Jahra City.

Imeshinda taji la Ligi Kuu ya Kuwaiti mara mojana ilikuwa ni mwaka 1990 na imeshiriki mara 21 kwenye Ligi hiyo.

Inatumia Uwanja wa Mubarak Al-Aiar na Meneja wao ni Boris Bunjak.

Huko ndiko nyota wa Simba, Adam Salamba amekwenda kukipiga kwa mkopo.

GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI, KAZI YAO NI MOJA TU KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply