Uncategorized

NYOTA STARS : ITAKUWA BAHATI KWA BURUNDI KUPONA TAIFA

admin September 6, 2019 10:06 pm


SIMON Msuva, mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania amesema kuwa itakuwa ngumu kwa Burundi kupenya Uwanja wa Taifa.

Mchezo wa kwanza wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia uliofanyika nchini Burundi timu zote zilitoshana nguvu Kwa kufungana bao 1-1.

Msuva amesema matokeo hayo yanaipa nafasi timu ya Taifa kupata matokeo chanya mchezo wa marudio. 


“Matokeo ya Sare ambayo tumeyapata sio mabaya sana tofauti na kama tungekuwa tumepoteza kabisa sasa ni nafasi yetu kushinda mchezo wa marudio na hatupaswi kuwadharau wapinzani,” amesema.

Stars itamenyana na Burundi Septemba nane uwanja wa Taifa na kinachotakiwa ni ushindi ili timu isonge mbele hatua ya makundi.
YANGA WAVUNJA UKIMYA, WATOA TAMKO LINGINE KUHUSIANA NA DANTE YANGA KUMENOGA, MAMIMLIONI KAMA YOTE SASA MEZANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply