Home Uncategorized LIVE: PAMBA SC 0-0 YANGA SC, MECHI YA KIRAFIKI

LIVE: PAMBA SC 0-0 YANGA SC, MECHI YA KIRAFIKI




Dak ya 3, Kabwili ameanza leo, anawaanzishia wenzake kuanzisha mashambulizi upya, ni baada ya kuwa golikiki.
Dak ya 1, Pamba wamefanya shambulizi la hatari langoni mwa Yanga lakini wanajichanganya na mpira unatoka nje.
Dak ya 1, mechi imeanza baina ya Yanga dhidi ya Pamba, Uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza.

SOMA NA HII  YANGA HAWAPOI WAJIBU DONGO LA SIMBA KWA VITENDO, CHEKI JIBU LAO LAZIMA UKAE