Uncategorized

HESAB ZA MBEYA CITY TPL ZIPO NAMNA HII

admin September 9, 2019 9:05 am


UONGOZI wa Mbeya City umesema kuwa umejipanga kufanya makubwa msimu huu kutokana na ushindani uliopo ndani ya ligi.

Mbeya City ilikuwa na mchezo Septemba 18 dhidi ya Yanga ambao umeondolewa na utapangiwa tarehe nyingine.
Sababu za kuuondoa mchezo huo umetajwa kuwa ni kuipa nafasi timu ya Yanga kujiaandaa na mchezo wa Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya Zesco nchini Zambia.

Juma Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa timu ipo tayari kwa ajili ya ushindani wa ligi kuu msimu huu na itafanya maajabu.

Mchezo wa kwanza waliocheza Mbeya City ililazimisha sare dhidi ya Tanzania Prisons.

MBELGIJI SIMBA AMFUNGIA KAZI IBRAHIM AJIBU YANGA YAPATA KIBOKO YA MO DEWJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply