Uncategorized
MAKONDA AMKABIDHI JUMA KASEJA MILIONI ZAKE 10 KAMA ALIVYOAHIDI
admin
September 9, 2019
11:25 am
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo amemkabidhi Golikipa wa Taifa Stars Juma kaseja ahadi aliyotoa jana ya kumpa kiasi cha Shilingi Milioni 10 kwa kuwa nyota wake wa mchezo wa jana dhidi ya Burundi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.