Uncategorized

SITA WAPIGWA CHINI JUMLA NDANI YA KMC

admin January 14, 2020 9:57 am


IMEELEZWA kuwa Uongozi wa timu ya KMC umefikia makubaliano ya kusitisha mikataba na wachezaji watano ndani ya kikosi hicho.

Wachezaji hao ni Aaron Lulambo, George Sangija, Rehani Kibingu, Melly Mongolare na Janvier Besala Bokongu.

Pia mchezaji Vitalis Mayanga ameuzwa kwa timu ya Ndanda FC ya Mtwara ambako ndiko alikotoka kabla ya kusajiliwa kwa kandarasi ya miaka miwili ndani ya KMC.


Habari zinaeleza kuwa sababu kubwa iliyofanya haya yote kutokea ni wachezaji kushindwa kuonyesha uwezo wao ndani ya uwanja.
MRITHI WA MAYANJA NDANI YA KMC HUYU HAPA, AANZA KAZI MTIBWA SUGAR: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply