MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni shabiki wa Simba, Paul Makonda ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa Bodi ya Wakurugenzi.
Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia Ukurasa rasmi wa Istagram ya Simba.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.