Uncategorized

KINACHOIBEBA COASTAL UNION CHATAJWA

admin January 18, 2020 12:32 pm


KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kinachoibeba timu yake kupata matokeo chanya ni kujituma kwa wachezaji wake na kufuata kile ambacho wanaelekezwa.


Akizungumza na Saleh Jembe, Mgunda amesema kuwa ugumu wa ligi unawafanya wachezaji wake wajitume na kupambana kutafuta matokeo.

“Wachezaji wangu napenda kuwapa pongezi kwani wanafanya kazi ambayo inawapa furaha wao na mashabiki ni kitu kizuri.

“Kikubwa ni kwamba wanatambua kile ambacho mashabiki wanahitaji na wao wanafanya kile ambacho ninawaelekeza ni jambo la kuwapongeza,” amesema.


Coastal Union ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa imecheza jumla ya mechi 17 ipmejikusanyia jumla ya pointi 30 kibindoni,
HUU NDIO ‘UGONJWA’ WA BEKI KISIKI WA SIMBA MATOKEO YA MECHI ZA NYUMA ZA AZAM FC NA YANGA ZIPO HIVI, TUJIKUMBUSHE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply