Uncategorized

HUU NDIO ‘UGONJWA’ WA BEKI KISIKI WA SIMBA

admin January 18, 2020 11:02 am

BEKI kisiki ndani ya kikosi cha Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa ‘ugonjwa’ wake mkubwa kwenye chakula ni wali samaki.

Akizungumza na Saleh Jembe, Wawa amesema kuwa mbali na ukarimu wa watu wa Bongo kuna vyakula vingi vizuri anavyovipenda kuvipata wakati wa mlo wake.

“Kwa upande wangu napenda msosi mzuri na kwa hapa Bongo kuna vyakula vingi ila napendelea sana wali samaki, hapo ndipo naona burudani nikipata, iwe ni samaki mchemsho hata wakavu pia ni freshi,” amesema. 
HIZI HAPA DAKIKA 450 ZA MOTO KWA MBELGIJI WA YANGA, RATIBA YAKE BALAA, BANDIKA BANDUA KINACHOIBEBA COASTAL UNION CHATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply