Uncategorized

BRUNO FERNANDES AZICHANGANYA UNITED, CITY NA CHELSEA

admin January 19, 2020 11:02 am


IMEELEZWA kuwa Ole Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United anampigia hesabu nyota wa Sporting Lisbon, Bruno Fernandes.

Baada ya dirisha dogo kufunguliwa mwezi Januari, mchezaji huyo amekuwa akitajwa sana kutua ndani ya United kwa sasa.

Inaelezwa kuwa nyota huyo anatajwa kuwa mbadala wa kiungo wake Paul Pogba ambaye ambaye anasumbuliwa na majeraha kwa sasa.

Hata hivyo ugumu wa kumpata nyota huyo unaongezwa na watani wao Mancheter City na Chelsea ambao nao wanatajwa kuiwania saini ya nyota huyo.

KOCHA YANGA AWAKA VIBAYA, AZUNGUMZIWA KUFANYIWA UBAGUZI – VIDEO HATIHATI YA MECHI KATI YA SIMBA NA ALLIANCE KUFANYIKA LEO CCM KIRUMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply