Uncategorized

HATIHATI YA MECHI KATI YA SIMBA NA ALLIANCE KUFANYIKA LEO CCM KIRUMBA

admin January 19, 2020 11:02 am

Taarifa zilizotufikia kutoka jijini Mwanza katika dimba la CCM Kirumba ni hatihati ya mechi ya Alliance dhidi ya Simba kufanyika.

Kuna uwezekano mechi hiyo iaksogezwa mbele kutokana na mvua kubwa ambayo inaendelea kunyesha jijini humo.

Taarifa zinasema hali ya uwanja si nzuri kutokana na maji kujaa kwa wingi ndani ya dimba hilo lililo pembezoni kidogo mwa jiji.

Saleh Jembe itaendelea kukujuza kuhusiana na kila kinachojiri juu ya mechi hii inayosubiriwa kwa hamu na wadau pamoja na mashabiki wa soka hapa nchini.
BRUNO FERNANDES AZICHANGANYA UNITED, CITY NA CHELSEA SUALA LA KUCHEZEA WANAWAKE, DIAMOND APEWA ONYO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply