Home Uncategorized EXCLUSIVE!! SAMATTA ATAMBULISHWA ASTON VILLA, AMWAGA WINO WA MIAKA MINNE

EXCLUSIVE!! SAMATTA ATAMBULISHWA ASTON VILLA, AMWAGA WINO WA MIAKA MINNE

132
0

Rasmi klabu ya Aston Villa imekamilisha usajili wa straika Mtanzania aliyekuwa ainchezea KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na nusu.