Uncategorized

KINDOKI AMCHAMBUA MORRISON, AMTAJA HAJI MANARA KWA NAMNA HII – VIDEO

admin January 27, 2020 9:13 pm

Shabiki na Mwanachama Kindakindaki wa Yanga Jimmy Kindoki amesema kuwa Bernard Morrison ni mchezaji mzuri ambaye amekuja kufanya makubwa katika klabu ya Yanga ikiwemo kuifanya Timu yake ipate ushindi.

Morrison ameendelea kujadiliwa katika mitandao ya kijamii baada ya jana kufanya mbwembwe katika mchezo wao dhidi ya Tanzania Prison na hivyo kuwaacha mashabiki wengi wa soka wakiwa wanajadili.

SAMATTA AMUIBUIA KOCHA YANGA MORRISON AZIDI KUNEEMEKA, MAHAKAMA YAMMWAGIA PONGEZI – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply