Uncategorized

SIMBA V POLISI TANZANIA, TAMBO ZATAWALA

admin February 3, 2020 1:36 pm


SIMBA kesho itashuka Uwanja wa Taifa kumenyana na Polisi Tanzania mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo huo utakuwa wa 19 kwa Simba kukamilisha mzunguko wa kwanza sawa na Polisi Tanzania ambao wote wanamaliza mzunguko wa kwanza.

Mechi zao zote mbili za mwisho wameshinda ambapo Simba ilishinda mabao 2-0 mbele ya Coastal Union na Polisi Tanzania ilishinda bao 1-0 mbele ya JKT Tanzania.

Sven Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi utakaowafanya wazidi kuongeza nguvu ya kutafuta ubingwa na Malale Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa watapambana kupata ushindi.

MORRISON BALAA ALILOFANYIWA JANA TAIFA NA MTIBWA SUGAR WE ACHA TU MOURINHO ABEBA MATUMAINI KIBAO KWA NYOTA WAKE MPYA NDANI YA SPURS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply