Uncategorized

SIMBA YAANZA KUIWINDA LIPULI, MZUNGU AZITAKA POINTI TATU

admin February 14, 2020 8:07 am

KIKOSI cha Simba kipo mkoani Iringa kwa sasa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesho, Februari 15 Uwanja wa Samora.

Jana kilianza kufanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao huo baada ya ktoka kushinda kwa mabao 3-0 mbele ya Mtibwa Sugar.

Sven Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kikubwa anachotarajia ni kuona wachezaji wake wakipambana kupata pointi tatu muhimu.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-0.

AZAM FC YAWAITA MASHABIKI UHURU KUSHUHUDIA BURUDANI SI SAWA, NI HATARI SANA WACHEZAJI KUCHANGANYIKA NA MASHABIKI KAMA ILIVYOKUWA JAMHURI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply