Uncategorized

CONTE AKIRI MAMBO MAGUMU SERIE A, JUVENTUS YAISHUSHA NA LAZIO PIA YAWAVUTA CHINI

admin February 17, 2020 2:52 pm


ANTONIO Conte, Kocha Mkuu wa timu ya Inter Milan inayoshiriki Seria A ya Italia amesema kuna ugumu wa kupata matokeo kwenye mechi zake kutokana na ushindani uliopo.

Inter Milan jana ilikubali kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Lazio, huku Ahley Young akipachika bao la kufutia machozi dakika ya 44.

Kwa upande wa Lazio walipachika mabao yao kupitia kwa Ciro Immobile dakika ya 50 kwa mkwaju wa penalti huku lile la ushindi likifungwa na Sergej Savic dakika ya 69.

Kichapo hicho kinawashusha kileleni na kuipandisha Juventus ambayo imefikisha jumla ya pointi 57 huku Lazio ikiwa nafasi ya tatu na pointi zake 56 na Inter Milan nafasi ya tatu na pointi zake 54.

NYOTA ANAYEMKIMBIZA KAGERE MDOGOMDOGO ATAJA KINACHOMBEBA MZUNGU WA SIMBA AJIVUNIA HIKI HAPA KUTOKA KWA WACHEZAJI WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply