Uncategorized

SIMBA YAGOMA KUPEWA SABABU ZA KUSHINDWA, YAZIPIGIA POINTI TATU ZA KAGERA

admin February 17, 2020 7:52 am


SIMBA kesho ina kazi mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Taifa, Uongozi umesema kuwa hautaki sababu za kushindwa.

 Kagera Sugar iliyo chini ya Mecky Maxime ina kumbukumbu ya kufungwa mabao 3-0 na Simba mchezo wa kwanza liochezwa Uwanja wa Kaitaba.

Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa mpango mkubwa ni kupata pointi tatu mbele ya wapinzani wao kupitia wachezaji kujituma na ndani ya Uwanja.

“Kazi yetu ni kuona tunaendelea kupata matokeo mazuri kwenye mechi zetu tutakazocheza bila kuwa na sababu ya kujitetea,” amesema.

Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 56 baada ya kucheza mechi 22.

YANGA YAOMBA SAPOTI KWA MASHABIKI, SABABU YA SARE NA PRISONS YATAJWA ANKO MWAKYEMBE KAPISHANA NA DUA YETU YA KUTAKA MAPROO WOTE FIRST ELEVEN STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply