Uncategorized

MZUNGU WA SIMBA ATAKA MABAO MENGI KWA WASHAMBULIAJI WAKE KUPATA POINTI TATU

admin February 20, 2020 3:22 pm


Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuwa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco kazi yao kubwa ni kufunga mabao mengi ili kuipa timu yake pointi tatu.

Simba inaongoza ligi ikiwa na pointi 59 ikiwa imecheza mechi 23 mchezo wake unaofuata ni dhidi ya Biashara United utakaochezwa Uwanja wa Taifa.

Sven amesema:”Kushinda uwanjani kunategemea idadi ya mabao ambayo yatafungwa hivyo safu ya ushambuliaji ina kazi ya kufunga mabao mengi ili kuipa timu ushindi.

“Kwa sasa hakuna kutafuta kisingizio kwamba tumeshindwa kutokana na jambo fulani hilo halipo kazi ni moja kucheza kwa juhudi na kutafuta matokeo,”.


KOCHA COASTAL UNION AJIBEBESHA MZIGO MZITO YANGA WAJIPA MATUMAINI YA KUREJEA KWENYE UBORA WAO TENA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply