Uncategorized

AZAM FC: KICHAPO CHETU MBELE YA NAMUNGO HATUNA WA KUMLAUMU

admin February 23, 2020 7:11 am


AGREY Morris, nahodha wa Azam FC amesema kuwa kichapo walichopokea mbele ya Namungo FC  ni makosa yao wenyewe hakuna wa kumlaumu.

Jana Azam ilipoteza mbele ya Namungo kwa kufungwa bao 1-0 lililofungwa na Reliants Lusajo dakika ya 60 Uwanja wa Majaliwa.

 Morris amesema:-“Tumefungwa kwa makosa yetu wenyewe hakuna namna nyingine ya kusema wala kumlaumu mtu kwa sasa, ni makosa yetu yamemetugharimu.

Lusajo anafikisha jumla ya mabao 10 wenye msimamo wa wafungaji akiwa ni mzawa mwenye mabao mengi kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara anafuatiwa na Yusuph Mhilu mwenye mabao tisa.

TAMBO ZA MASAU BWIRE ZAJIBIWA KWA VITENDO NA POLISI TANZANIA MTIBWAR SUGAR YAKOMAA NA MATATIZO YAO WENYEWE, KICHAPO MBELE YA MBEYA CITY CHAIBUA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply