MIRAJ Athuman, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa anachokifikiria ni kurejea ndani ya Uwanja kuendelea kupambana kwa ajili ya timu yake.
Miraj amekuwa nje kwa muda kutokana na kusumbuliwa na majeruhi aliyoyapata kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa visiwani Zanzibar.
Akizungumza na Saleh Jembe, Miraj amesema kuwa:-“Ninamshukuru Mungu kwa kuwa ninaendelea vizuri na nimeanza mazoezi kujiweka sawa kabla sijarejea uwanjani.
“Nina amini muda si mrefu nitarejea uwanjani na kuendelea kupambania timu yangu na kufanya majukumu ya kila siku,”.
Miraj kwenye ligi ametupia jumla ya mabao sita na ana pasi moja ya bao lililofungwa na Meddie Kagere.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.