Home Uncategorized PICHA: WACHEZAJI WA YANGA WAKISEPA KWENYE MAKAZI YAO YA ZAMANI

PICHA: WACHEZAJI WA YANGA WAKISEPA KWENYE MAKAZI YAO YA ZAMANI

HIZI hapa picha za baadhi wachezaji wa Yanga ambao wameonekana wakihama kutoka kwenye makazi yao ya zamani maeneo ya Kariakoo ili kusaka makazi mapya. 


Uongozi wa Yanga umeeleza kuwa unafuatilia ili kujua kinachoendelea.

SOMA NA HII  JESHI LA KMC KIMATAIFA LEO HILI HAPA DHIDI YA AS KIGALI