Uncategorized

YANGA YAINYOOSHA GWAMBINA KWA BAO MOJA LA KIDEO, YATINGA HATUA YA ROBO FAINALI

admin February 26, 2020 3:14 pm


YANGA leo imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina FC mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Bao pekee la ushindi kwa Yanga lilifungwa na kiungo mshambuliaji Haruna Niyonzima dakika ya 45 kwa shuti kali alilofunga akiwa nje ya18.

Ushindi huo unaifanya Yanga isonge hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho lililo mikononi mwa Azam FC ikisubiri droo ipangwe kujua mpinzani wake.


Gwambina FC ilipambana kipindi cha pili kurudisha bao hilo uimara wa mlinda mlango Metacha Mnata na umakini wa beki kisiki Lamine Moro ulitibua mipango yao.
MAPILATO WA POLISI TANZANIA V YANGA YAWAKUTA, WAFUNGIWA MIEZI MITATU MZUNGU WA SIMBA HALAZI KIKOSI CHAKE, LEO KAZI INAANZA RASMI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply